Thursday, June 13, 2013

BREAKING NEWzzz: MSANII WA HIP HOP TANZANIA LANGA AFARIKI DUNIA...!!


Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Langa afariki dunia..
Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui.

Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.

Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.TAARIFA ILIYOTUFUKIA CHUMBA CHA HABARI CHA thesuperstarstz,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYADA LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA.

LANGA AMBAYE INADAIWA KUWA ALIPATWA NA MALARIA KALI SANA HALI ILIYOPELEKEA KUKIMBIZWA HOSPITALI SIKU YA JANA.
Mungu amrehemu.

ENDELEA KUWA NASI TUENDELEE KUKUPASSHA ZAIDI KKUHUSU CHANZO CHA KIFO HICHO

No comments:

Post a Comment