Friday, June 07, 2013

CHECK OUT: THE BOSS ''LADY HUDDAH MONROE'' NA ''PREZZOO'' MAPENZI TELE, DIVA AAMUA KUWEKA PICHA ZA NUSU UTUPU KUPOTEZA SOO KUMBE AIBU!

Prezzo akiwa na huddah jana muda mchache baada ya lady boss kutua katika  ardhi ya kenya.. ahahahahahah  prezzo kajiachiajeee!!!

 Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo ndani ya mtandao huo wa twirraa, dada yetu akaamua kuweka picha yake ya.....(sijaielewa sijui AVI na hii ahahahha samahani lakini) ili kupotezea soo hilo..
ahahahahah Sasa bado hatuelewi  kama ile LOVE AT THE FIRST SIGHT IMEISHIA WAPI maana presidente anaongea kwa vitendo tu!! #okeee
Source:Zeddylious blog

No comments:

Post a Comment