Sunday, June 30, 2013

DIAMOND ALIVYOWAPAGAWISHA MAELFU YA WANANCHI WA TABORA

Hii ilikuwa show ya diamond mkoani Tabora
 mahususi kabisa akiwa amekuja kukonga nyoyo
za mashabiki wake wa kipindi kirefu waliokuwa na kiu ya kumuona
kutokana na kipindi kirefu kuwa na Tour mbalimbali...

Show hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Frank Man Palace......
Nashukuru sana watu wangu wa kweli waliofurika ukumbuni
 umo hadi kusababisha wengine kuchezea
mziki nje ya geti kutokana na wingi wa watu uliofurika......much love kwao
watu wangu wa Tabora...!!
Zifuatazo ni Picha kadhaa akiwa kwenye Stage akifanya yake kwenye stage...!!
Hapo sasa  mashetani na mizuka ya kimanyema ikimpanda mambo ndio yanakuwa hivi..
Hisia ya kile anachoimba humpeleka mbali sana ..!!
Inatokana na mizuka toka kwa mashabiki wanavyotoa sapoti.....
Hapa ni ile michezo ya kuringa ringa tu.....yanii moja mbili tatu.....!!

Tumeelewana watu wangu wa Tabora leo mpaka asubuhi.....!!
Mizuka Imepanda jamani nacheni nilewe....weweuweeeh...!!
Watu wa rangi zote wanajua ni nini mtoto wa Jakaya huwa nakifanya
Haya sasa ajajajjaajaja.....nini tena...?? eenh Jibu unalo tayari....!!
Tokelezea au sio.....? ...!!

No comments:

Post a Comment