Sunday, June 09, 2013

FEZA WA TANZANIA ANUSURIKA KUYAAGA MASHINDANO YA BIG BROTHER...KOKETSO NA LK4 KWAHERI FEZA AzZIDI KUPETA....

Mtanzania FEZA amenusurika kutoka katika jumba la biggie baada ya kuwa up for possible eviction kufuatia kuwekwa kitanzini (nominated) Jumatatu iliyopita... 
Koketso mshiriki kutoka South Africa na LK4 ambaye ni mshiriki kutoka Uganda wamekuwa washiriki wa tatu na wa nne kutoka katika jumba la Big Brother Africa baada ya Denzel na Huddah kuyaaga mashindano  wiki  iliyopita.. 
Asanteni kwa kumpigia kura Feza Kessy,tumeonyesha Uzalendo wa kweli tuendelee na juhudi hizi, Watanzania tunajivunia Feza kwa kutuwakilisha vizuri kwenye jumba la BBA The Chase

No comments:

Post a Comment