Monday, June 10, 2013

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE MSANII WA BONGO MOVIE KASH AFARIKI DUNIA MUDA HUU

Marehemu Jaji Khamisi (Kashi)
Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba msanii wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV enzi zile akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine katika mchezo wa Tamu chungu na mingine mingi Amefariki dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya muhimbili alikokuwa amelazwa,akizungumza na the super stars tz raisi wa shirikisho la wasanii amesema kuwa tasnia yake bado inaendelea kukumbwa na majanga  lakini amedai yote ni kazi ya mungu
Nae mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozi wake amesema kashi ni msanii ambaye alikuwa mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika tasnia yetu
Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamis (Kashi)
mahali pema pepponi Amini.

12 comments:

 1. R.I.P MY SISTER

  ReplyDelete
 2. NINAUMIA SANA TENA SANA KUONA JINSI AMBAVYO WASANII WETU WANAPUPUTIKA KAMA PUMBA UKWELI INANIPA KUFIKIRI SANA KWA KWELI NA NAUMIA ZAIDI PALE AMBAPO INAONEKANA LAWAMA ZOTE TUNAMTUPIA MUNGU KWAMBA NI MAPENZI YAKE!!! NADHANI JAMANI TUFIKIRI ZAIDI YA HAPO LAZIMA KUNA JAWABU SITAKI KUAMINI KUA NI MUNGU ANAWACHUKUA HAWA WATU KATIKA UMRI MDOGO KIASI HIKI NA WENGI BILA KUFIKIA MALENGO YAO!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hivi swala la kifo ni la kujiuliza,mbona kuna watoto wanazaliwa hata siku mbili hawaishi nao unataka kusema kuna kitu...kifo kipo na kimepanga na kila mtu ataonja nautical haijarishi umri wala jinsia..kikubwa ni kujiweka tayari muda wote....

   Delete
 3. http://Cashnize.com/?refcode=7945

  ReplyDelete
 4. Rest in peace. Kash.

  ReplyDelete
 5. rest in peace dada

  ReplyDelete
 6. Poleni jamani. Mola aiweke roho yake mahala pema peponi. Nipata fursa ya kuigiza naye huyu dada mjini Dar katika filamu moja kaielekeza Monalisa maarufu 'Binti Nusa'.

  ReplyDelete
 7. anzeni kusali jama ni hayo mapombe yenu yanamuudhi muumba wetu wa haki.. acheni kucheza madisko na ngono muanze kuchana msala.. Mungu ni mwingi wa huruma na ni msamehevu

  ReplyDelete