Monday, June 10, 2013

HAYA NDIO MAANDALIZI YA WEMA SEPETU KABLA YA KUTOKELEZEA KILI MUSIC AWARDS 2013,

Picha chini zinaonyesha muigizaji Wema Sepetu akipakwa make up na kutengenezwa nywele kabla ya kutokelezea kwenye event ya Kilimanjaro Music Awards 2013. Gauni alilovaa Wema ni design ya fashion designer wa Tanzania Eve Collection na designs zake nyingine zilivaliwa na watu wengine katika event hiyo. Anything to say about Wema's look?. photos below......................
                                             akiwa ukumbini tayari
 
chanzo swahiliworldplanet

1 comment:

  1. Mashaallah.
    Huyu Dada ni mzuri jamani.

    ReplyDelete