Monday, June 24, 2013

HII NDIO VIDEO YA OMMY DIMPOZI ALIVYOPIGWA CHUPA NA MAWE AKIWA STEJINI NA KUKATISHA SHOW YAKE MJINI DODOMA JANA

Jana DODOMA katika show ya Kilimanjaro Ommy Dimpoz na  madansa  wake  wamejikuta  wakiambulia  kupigwa  mawe  na  chupa  jukwaani, hali  iliyowafanya  walikimbie  jukwaa...
Pamoja  na  kupigwa  mawe  na  makopo, jamaa  walijikaza  kisabuni  mpaka  baunsa  akaamua  kuwatoa  jukwaani ili  kunusuru  roho  zao.....
Kisa  cha  kupigwa  mawe  nkinatokana  na  tusi  la  Ommy Dimpoz  kwa  marehem Ngwea...
Ommy  alimtusi  Ngwea  kwa  kudai  kuwa  ujinga  wake  ulimfanya  afe  masikini  na  kwamba  yeye  kwa  sasa  amechoka  kuzika  watu  masikini...
ANGALIA VIDEO HIYO HAPA CHINI

5 comments:

 1. safi sana, atajifunza sasa kua mdomo mchafu hua haufai.

  ReplyDelete
 2. ndo akome, pumbavu zake. Hakuna mtu anapeyependa kufa masikini

  ReplyDelete
 3. Mtu akifanya kosa husamehewa,hatua ya Ma,fan's kumtupia mawe msanii wa kwenu unadhani ugenini atafanyiwa nini? hii haipendezi makinikeni ndugu zetu waTANZANIA.

  ReplyDelete
 4. DIMPOZ MWENYEWE MSHAMBA TU HANA MPANGO ANAJIONA STAR KUMBE MAVI MATUPU HANA MUDA ATAANGUKA KAMA WALIVYO ANGUKA WENZAKE WENGI SHENZI SANA

  ReplyDelete