Monday, June 10, 2013

HIKI NDO KILICHOJIRI KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA - MAJANGA NDANI YA MAISHA CLUB. TAZAMA PICHA

Snura akionyesha uwezo wake wa kuzungusha nyonga.
…Akinengua na wacheza shoo wake.…
Snura akionyesha uwezo wake wa kuzungusha nyonga.
…Akinengua na wacheza shoo wake.
Tunda Man akionyesha uwezo wake.
…Akicheza na mmoja wa mashabiki zake.
Ally Nipishe akiwajibika jukwaani.
Samir akipagawisha jukwaa.
Ally Baucha akiwa kazini.
Msanii mpya anayeiga swagger za marehemu Sharo Milionea akipagawisha jukwaa.
                                                Menina akicheza na mmoja wa mashabiki zake.
SHOO ya uzinduzi wa video ya wimbo wa ‘Majanga’ wa msanii wa kizazi kipya, Snura Mushi, usiku wa kuamkia leo ilifana vilivyo ndani ya New Maisha Club kwa kuonyesha uwezo wa majanga yake katika kuzungusha nyonga.  Shoo hiyo ilisindikizwa na wanamuziki Tunda Man, Ally Nipishe, Ally Baucha, Menina, Samir na Sharo Swagger.
                                                           Habari/Picha: Musa Mateja/GPL

No comments:

Post a Comment