Tuesday, June 11, 2013

HIVI NDIVYO MSANII KASHI ALIVYOZIKWA..ANGALIA PICHA KUANZIA NYUMBANI HADI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI...!!

Hostaz wakiwa anamswalia Marehemu Kashi leo Kinondoni Muslim

Ustaadh akiwa anamswalia Marehemu Kashi leo Kinondoni Muslim


Waigizaji na wadau mbalimbali leo wamekusanyika kwenye mazishi ya muigizaji wa filamu nchini, Kashi aliyefariki jana. Mazishi hayo yamefanyika kwene makaburi ya Kinondoni Muslim.

 IMG_4436 IMG_4438 IMG_4442 IMG_4463 IMG_4464 Jacqueline wolper akiwa amekaa na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi

Jacqueline Wolper akiwa amekaa na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi
Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi
Kitale na wasanii wenzake
Kitale na wasanii wenzake
Msanii wa bongomovie Big
Msanii wa bongo movie Big
Msanii wa movie akilia kwa uchungu
Msanii wa movie akilia kwa uchungu
Msanii wa Movie Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi.
Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi
Msanii wa movie Monalisa akisalimiana na wasanii wenzake leo nyumbani kwa marehemu Kashi.
Msanii wa movie Monalisa akisalimiana na wasanii wenzake leo nyumbani kwa marehemu Kashi.
Msanii wa movie Mustaph the best akiwa na menager wake.
Msanii wa movie Mustaph the best akiwa na manager wake.
Mwigizaji wa Tamdhiria ya ITV akisaini kitabu cha mchango wa mazishi leo.
Mwigizaji wa TamdhiLia ya ITV akisaini kitabu cha mchango wa mazishi leo.
Mwili wa marehemu Kashi baada ya kuwasili makaburini Kinondoni Muslim
Mwili wa marehemu Kashi baada ya kuwasili makaburini Kinondoni Muslim
Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia.
Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia
Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishi
Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishi
Mzee Chilo akijadili jambo na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi.
Mzee Chilo akijadili jambo na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba
Shughuli ya mazishi inaendelea
Shughuli ya mazishi inaendelea
Wa,mama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.
Wamama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.
Wadau mbalimbali wakimwifadhi Kashi leo.
Wadau mbalimbali wakimwifadhi Kashi leo
Wadau mbambali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim
Wadau mbalimbali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim
Wasanii wa movie Tanzania  kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo
Wasanii wa movie Tanzania kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo
Wasanii wa movie wakijadili jambo nyumbani kwa marehemu Kashi.
Wasanii wa movie wakijadili jambo nyumbani kwa

2 comments:

  1. rest in peace dada kweli udongo unamaliza watu, mola ndio kimbilio letu na kwake tutarejea.

    ReplyDelete