Friday, June 07, 2013

HIVI NDIVYO MUME WA KHADIJA KOPA ALIVYOZIKWA HUKO BAGAMOYO...!

Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi.

No comments:

Post a Comment