Wednesday, June 12, 2013

HUU NDIO MJENGO WA GHOROFA MOJA ANAOMILIKI MASANJA HUKO TABATA

                                                      
                                                                   Masanja mkandamizaji
Ama kwa hakika kama tutakuwa na akili za kukumbuka kuwekeza basi hatakuja kutokea msanii akalalamika amekufa maskini .tunajua kuwa bada sanaa yetu  ipo  chini haithaminiwi lakini basi ni vyema wasanii kujua kuwa hakuana msaada wowote zaidi ya nguvu juhudi  na akili zako.
Kwa upande mwingine tuseme wasanii tumejisahau sana na kuitupia serekali mzigo japo sikatai kuwa hawauhusiki wanahusika tena kwa asilimia kubwa lakini tunapoona hawasikii hawajali unadhani nini cha kufanya je tukae tu kupiga kelele huku siku zinakwenda na kuambiwa wasanii wanakufa maskini?Hapana mi nadhani tufuate mifano ya wenzetu kama masanja,Diamond,Ray,Lade jayde,Prof.jay ,Dotnata,Rich Rich na wengine wengi ambao pamoja na serekali kujifanya haisikii kilio cha wasanii ila wao wameamua kujiwekeza na kwa hakika wamefanikiwa.

Huu ndio mjengo wa ghorofa anaomiliki masanja mkandamizaji huko tabata
Akizungumza na thesuperstarstz kwa nja ya simu moja ya watu wa karibu na masanja amesema kwasasa masanja anamiliki kampuni kubwa ya ulinzi yenye zana madubuti na silaha za kisasa katika ulinzi pia ana mmbwa wakutosha na ana walinzi kibao aliowajiri kwasasa hii inatupa picha kuwa sanaa kama tutatumia akili basi inarudisha fadhila kwako.

Kusema kweli thesuperstarstz inakupongeza sana masanja kwa hatua uliyofikia na pia tunakuombea mungu akupe zaidi na zaidi

3 comments:

  1. Hongera sana umejikwamua Mchungaji za comedian.

    ReplyDelete
  2. Kumbe unamaanishaga unavyosema we chekaaaa mie naingiza cku, hongera sn mkandamizaji ni juhud zako hzo.

    ReplyDelete
  3. zidi kukandamiza mwaniwane henoo henoo utaliona jiji

    ReplyDelete