Friday, June 07, 2013

HUYU NDIE SHABIKI WA MZEE YUSUFU ALIEPENDA NYIMBO ZA MZEE YUSUFU HADI AKAJICHO JINA LA MZEE YUSUFU MGONGONI!

Tukio hili lilitokea katika moja ya show za Mzee Yusufu hapa nchi. Inaonesha ni jinsi gani msanii huyu anakubalika, Maana inapofikia hatua kama hii kwa msanii basi amepokelewa vizuri katika fani, Na anaitendea haki nafasi yake.
 Mzee Yusufu
Shabiki wa ukweli

No comments:

Post a Comment