Tuesday, June 04, 2013

HUYU ndo MWANADADA MTANZANIA ATAKAYE NYONGWA IJUMAA HII NCHINI MISRI BAADA YA KUNASWA NA MADAWA YA KULEVYA....!!


14 comments:

 1. Replies
  1. Wema huyu si mtanzania ni muomani

   Delete
 2. Jaman roho inaniuma sana, but hakuna jinsi. Namfanisha na bint mmoja anaitwa Amina.

  ReplyDelete
 3. Siku zote mshahara wa dhambi ni mauti..lakini inasikitisha sana maana anaonekana anaumri mdogo .....future yake imestopishwa mapema....poleni sana kwa ndugu na marafiki zake.

  ReplyDelete
 4. Nimbaya sana kuwa kutokea,Inauma sana but full hakuna jinsi maana huyo binti ni very agressive.Mada wa kulenya ni noma angefanikiwa angekuwa bonge la tajiri.liwe fundisho kwetu.

  ReplyDelete
 5. OMG pls if there is any means to help her out,its real touching to end her life just like that.late the Tanzania Embassy help her out.

  ReplyDelete
 6. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 7. jamani madawa ya kulevya yanaangamiza vijana acha wajifunze kwani wanaharibu future ya vijana yaani adhabu hii ndo itakuwa fundisho.wazazi wanaumia sana watoto wao wanavyoharibiwa na madawa ya kulevya

  ReplyDelete
 8. lakini Serikali ya Tanzania si inaweza kuomba Mtu wao na kumushitaki kwa kufatana na kanuni pia katiba ya Serikali ya Tanzania ?,..... Inauma sana basi !!!

  ReplyDelete
 9. so sad,iyo ni kwasababu tu anatafuta chapaa,God help her Amen

  ReplyDelete
 10. Serikali yetu ina nini cha kusema juu ya hili swala jamani binafsi roho inaniuma sana

  ReplyDelete