Saturday, June 15, 2013

JOHN MAKINI ALAZWA SINZA PALESTINA HII NI MESEJI YAKE KWA MASHABIKI

Star wa muziki wa kizazi kipya toka weusi joh mzkini amelazwa katika hoptali ya sinza palestina akisumbuliwa na malaria kali na nakujikuta akituma ujumbe kwa mashaiki wake.

Baada ya ujumbee huo thesuperstarstz imekuwa wa kwanza kwenda kumjulia hali star huyo wa bongo fleva na kumkuta akiwa ametundikiwa drip za maji huku akisisitiza naumwa sana. 

Na hizi hapa ni baadh ya ujumbe wake uliofanya thesuperstartz kwenda kumuona.

2 comments: