Thursday, June 13, 2013

KICHANGA CHAOKOTWA KIKIWA KIMEKUFA HUKO MAGOMENI KOTA ZILIPOVUNJWA NYUMBA

Wakazi wa eneo hilo la magomeni wakishuhudia maiti hiyo ya kichanga iliyokotwa katika eneo hilo bila yakujua aliyemtupa
Maiti ya kichanga huyo ikiwa chini


Watu wakiwa hawaamini kilichopo chini huku wengine wakilaani na kujiuliza ni wapi tunakoelekea

Baada ya muda watu waliwapigia simu polisi polisi wa magomeni usalama na hapa ndio walikuwa wanawasili eneo hilo kuichukua maiti
Hapa polisi wakiwa tiyari wameusitiri mwili wa kichanga kile na kuondoka nao

No comments:

Post a Comment