Monday, June 10, 2013

KWA WAKAZI WA TABORA WOOTE TAREHE 28 NA 29 MWEZI HUU THE PREZIDAA NA TEAM NZIMA YA WASAFI TUNAKUJA KUFANYA UNYAMA WETU


Ile siku na tarehe niliyokuwa ninaisubilia kwa
 hamu ndiyo imewadia sasa,mashabiki zangu
 woote wa Kinyamwezi aka Tabora
huu ndiyo wakati wenu....Toto la
 kimanyema...mtoto wa bi Sandrah
 the Prezidah himself  toka Wasafi
 Diamond platnumz
siku ya
tarehe 28 mwezi wa 6 pale
 FRANKMAN PALACE kwa 30000 za
 kitanzanmia ntaanza na wale wa ki-VIP 
then ile tarehe 29 june sasa..watu
 wangu woote kwa elfu tano tu(5000) tunakutana Uwanja 
wa Ali hassan Mwinyikwa pamoja tutalewa na kisha
 ntachagua mmoja tu wa kumpeleka kesho 
yake kwa mama Naseeb..kama ilivyo ada
 ntakuwa na Crew yangu 
nzima ya Wasafi wakiongozwa na Dumi Utamu,
 Mose Iyobo,Rama tonser na Emma Platnumz...
 Kazi yetu itakuwa ni moja tu...kukuondolea
 stress na kukupa burudani halisi ya kisafi

No comments:

Post a Comment