Wednesday, June 05, 2013

MAELFU YA WATU WAMIMINIKA LEADERS CLUB KUMUAGA ALBERT NGWEA.....SALAMU ZA MWISHO ZIMEANZA KUTOLEWA...!!Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho

Umati wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by.

Baadhi ya wasanii wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.

No comments:

Post a Comment