Wednesday, June 05, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA KUUAGA MWILI WA ALBERT MANGWEA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS...!


waombolezaji
Wanamuziki ndugu ally kiba na abdu kiba wakiwa eneo la tukio huku nyuma yao anaonekana mwanadada monalisa,mama yake mwenye njano na huyu mwingine ni vanita omari wote wasanii wa bongo movies
Diamond akiangalia habari mitandaoni huku akiwa na baadhi ya waombolezaji waliojitokeza katika Viwanja vya Leaders kwa ajili ya kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea.

Produser wa AM Rec Maneke huyo mwenye Tshart yenye maaandishi meupe mbele akitete jambo na jamaa yake
Msanii wa muziki na filamu Sunura mushi akiwa na dk chen
Mwanamziki keisha huyo mweupe
Diamond akiwa na wasanii wenzie
Waombolezaji

Ndivyo alivyolala ndugu yetu
Msanii Madee akiuga mwili wa ngwea
Msanii wa filamu nchini tanzania mahseni awadhi Dk chen akiuga mwili wa ngwea
Mwanamuzi Diamond Platnumz akiuga mwili wa ngwea
Ama kwa hakika moyo ulimpasuka kila aliyekaribia jeneza na kumuona ngwea
Mchekeshaji mahiri wa kundi la original comedy joti akiuga mwili wa ngwea
Mwili wa mpendwa wetu ndio huu
Ilikuwa ngumu kuamini kwa maneke kuamini anachokiona
Watu walishindwa kujizuiya
Msanii dimond akitembea kwa huzuni kubwa
Watu wakizidi kuaga
Msanii Director na produser wa filamu nchin tanzania Mtitu wa 5 Effect akitowa heshima za mwisho kwa msanii mwenzie
Mwanamuziki nyandu tozi au Dogo Hamidu akiwa haamini kama rafiki yake kamtoka
Mama Natasha mwigizaji kutoka tanzania ambaye ni mama wa msanii Ivon cherry  au monalisa ambae anaonekana kwa nyuma mwenye nguo nyeusi
Muigizaji kinara mwenye Tuzo kibao kutoka tanzania ivon cherry ama Monalisa
Mwanamuziki kalapina wa Kikosi cha mizinga akitoa heshima ya mwisho kwa marehemu
Watu wa usalama pia walijikuta katika wakati wa huzuni baada ya kuangalia mwili wa marehemu
Jamaa akiwa haamini roho yake
Mwanamuziki wa mapacha akihuzunika baada ya kumuaga swahiba wake
Mwanamuziki Joe Makini akiwa na muigizaji Taff katika kuaga mwili wa marehemu

Msanii wa Filamu nchini tanzania kulwa kikumba dude
Watu wakishindwa kujizuia mara baada yakuuga mwili wa marehemu
Hivi ndivyo watu walivyokuwa mara baada ya kuuga mwili wa ngwea
Ndivyo alivyolala ndugu yetu Albert Mangwea
Watu wakiwa haamini
Mwanamuziki na mmiliki wa studio za Akili Rec  Akili the Brain  akiangalia na kuaga mwili wa msanii mwenzake Albert mangwea
Mwili wa ngwea ukiwa katika jeneza
Watu wakiagaa mwili wa mpendwa wetu
Waandishi wa habari wakipata matukio yote kwa undani
Ulinzi ukiwa unaimarishwa eneo hilo
T.I.D Akisoma machache jukwaani
Mwanamuziki Feroz akihojiwa
P Funk akitete jambo flani na shabiki wa ngwea
Polisi wakihakikisha ulinzi
Mwanamuziki Fid Q
Mwanamuziki Prf.Jay akiuga mwili wa rafiki yake kipenzi
Bosi wa TMK Wanaume Said Fella mwenye jaket akiwa na sura ya huzuni
Adam Juma wa visual lab  akisoma na kuwaelekeza watu baadh ya vitu
Watu wakisikiliza kwa makini
Mwanamuziki wa Tanzania aishie Australia Rama Dee
Watu wakiwa eneo la tukio

Quick Raka akimuangalia ngwea kwa mara ya mwisho

Wasanii
Msanii wa filamu dude,kushoto ni mama natasha na mtitu

No comments:

Post a Comment