Sunday, June 23, 2013

MTAZAME MSANII DIAMOND AKIFUAHIA MANDHARI YA NCHI YA COMORO

Picha hizi mbili zikimuonesha Msanii Diamond Platnumz akiwa
nchini comoro akibalizi mandhari ya nchini humo..
Picha hii Diamond amepost kupitia mtandao wake
 wa Instagram na chini

 aliandikia maneno 
haya ''Breezin' by the pool side before Hittin' the Stage
 tonight in Comoro''
Picha Nyingine alipost kupitia tena mtandao wake wa
 Instagram kupitia account yake inayoenda kwa jina
la Diamond Platnumz akiwa na Dancers wake wakonekana
 wakiwa kwenye bwawa la maji la kuogelea kwenye
hotel waliyofikia inayoenda kwa Jina la Retaj Moroni
Hotel
Picha hii akiwa na silaha za maangamizi stejini kutoka kushoto
ni Dumi Utamu,Diamond Platnumz,Rama Tonser
&Emma Platnumz.....kwa mbali unaona nini mtu mzima Platnumz kashika
 nini...hahaha ushajua sio kitu cha kuuliza...
Rama Tonser & Emma Platnum silaha ya kichwa....

No comments:

Post a Comment