Monday, June 03, 2013

MTOTO WA DAVINA ALIVYOTIMIZA AROBAINI..MASTAR KIBAO WALISHEREHEKEA NAE

Mdogo wake Davina akiwa na mtoto wa Davina aitwaye  fazal aliyetimiza siku Arubaini Tarehe 26/5/2013 siku ya jumapili maeneo ya magomeni nyumbani kwa wakwe zake Davina
Wasanii wa Bongo Movie pia hawakuwa mbali kumpa suppot msanii mwenzao katika tukio hilo la kihistoria kwa mtoto f......wa kwanza kutoka kushoto ni Jacklin Wolper katika ni halima yahaya Davina au mama f... na wa mwisho ni Vivian Minja
Hapa Shamsa Ford naye alikuwepo katika kumpa kampani Davina katika sherehe hiyo
Davina akiwa na synaj mwanamuziki wa bongo fleva ambaye nae alifika kumpa kamapan ya nguvu mama fazal
Hapa Davina akiwa na Dada ya Aitwaye Rose
Davina na Vivian

No comments:

Post a Comment