Monday, June 10, 2013

MTU MMOJA AFARIKI KATIKA AJARI YA GARI....DEREVA ATIMUA MBIO


Mtu mmoja amefariki dunia na waengine kumi kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Hiace lilikuwa linatoka Arusha kwenda Karatu kupasuka gurudumu la nyuma na kupinduka katika kijiji cha Silonga wilayani Monduli.
Tazama video hapaImewekwa na www,thesuperstarstz.blogspot.com

No comments:

Post a Comment