Monday, June 10, 2013

"MWANAFUNZI WANGU WA KIKE ANANITAKA KIMAPENZI.. KILA SIKU HUKAA MBELE TENA KIHASARA"...MWALIMU

Mimi  ni mwalimu wa shule moja  ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye  yuko  kidato  cha  tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi...
Sikuwa na hili wala lile, hivyo nilimwambia ni poa tu kama ameamua  kunikumbuka mwalimu wake..
Zawadi aloniletea ilinifanya  nishike  kichwa maana  sikutegemea.Yule mwanafunzi  aliniletea chupi aina ya boxer 3  na  tangu siku hiyo kila akiniona ananifanyia vituko mpaka ananikalia nusu  uchi  darasana nikiwa nafundisha  kwa vile anakaa viti vya Mbele....
Nikiwa  kama  mwalimu, nimejaribu  kutumia  viboko  ili  kumuonesha  kwamba  sina  mpango  naye lakini  bado  imeshindikana..
Nifanyaje  ndugu  zangu?  Maadili  ya  kazi  yananibana.Hata  hivyo, mwanao  ni  mwanetu  sote.

1 comment:

  1. pole kaka ila jaribu kuwaitisha wazazi wake mbele ya mwalimu mkuu afu ueleze kuwa hutaki mchezo huo.. lakini fikiria kwanza maana kama unampenda mwambie akusubiri af utamwoa akimaliza shule m'baki na mapenzi ya maongezi tu...

    ReplyDelete