Sunday, June 02, 2013

MWILI WA MAREHEM NGWEA KUFIKA SIKU YA JUMAPILI BADALA YA JUMAMOSI NA KUAGWA JUMATATU

Tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kwa watanzania wenzetu kwa ushirikiano wenu katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa ndugu yetu Albert Mangweha kilichotokea Afrika Kusini.- Katika kufanikisha msiba na mazishi ya ndugu yetu mpendwa tunapenda kuchukua nafasi hii kukaribisha wizara husika, mashirika, makampuni na watu binafsi kutoa michango yenu kupitia mitandao ya simu zifuatazo : - Kwa watumiaji wa mtandao

  Namna ya kuchangia, Nenda kwenye kutoa pesa , andika namba ya wakala ambayo ni 00001, chagua kiasi unachotaka kuchangia, Jina litakalokuja ni Mangwair Contribution baada ya hapo utakuwa umechangia.
-
Mpesa – 0754-967738
Pia kwa kutumia akaunti ya benki ifuatayo:
- Jina la Akaunti : Kenneth B. Mangweha
Nambari ya Akaunti: 2012505840
Benki : NMB
Pia kwa niaba ya kamati tunapenda kutoa ratiba kama ifuatavyo
 
Kamati ya mipango ya mazishi ya marehem Ngwea wametoa taarifa mpya kwamba mwili wa ndugu yetu Albert Mangwea utafika siku ya juma pili ya tarehe 2 / 6  saa nane mchana na sio siku ya jumamosi kama ilivyotaarifiwa hapo awali. 
sababu za mwili wa Albert Mangwea kushindwa kufika jumamosi kama ilivyopangwa ni kutokana na watanzania waishio Africa Kusini, kuomba na wao kutoa heshima za mwisho  
kwa maana hiyo basi taratibu zote za kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea, kwa wakazi wa Dar es salaam na maeneo ya jirani zitafanyika siku ya jumatatuya tarehe 3 / 6 kuanzia saa mbili ya asubuhi mpaka saa sita mchana, ambapo baada ya hapo, safari rasmi ya kuelekea Mororgoro itaanza kwa ajili ya mazishi itaanza. 
kamati inaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza

No comments:

Post a Comment