Saturday, June 15, 2013

"OMMY DIMPOZ ALIKUJA NA NDALA WAKATI ANANIOMBA NIMFUNDISHE KUIMBA, LEO ANAJIONA SUPERSTAR NA KUANZA KUTUKANA WASANII WAKUBWA "....T.I.D

"Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili 
 
kuomba kuimba sasa hivi wanajifanya wao wanazo
 
 hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu
 
 Albert wallahi mungu 
 
atamlaani.........mshenzi mkubwa na nikikuona
 
 nakupiga".
 
Hicho ndicho alochokiandika TID aka mnyama kwenye kupitia ukurasa wake wa facebook

1 comment:

  1. Nyie watu nadhani mkapimwe akili zenu kama mko sawa badala ya kujitahidi na kuungana mjenge heshma na kujikwamua na kazi zenu kuibwa mnaleta maneno ya kitoto humu kweli hamjaku
    wa

    ReplyDelete