Sunday, June 09, 2013

Picha: Wananchi Warudisha Kadi za CCM, Lissu Azichoma Moto - IfakaraBaada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto

No comments:

Post a Comment