Friday, June 28, 2013

PICHA:ICHEKI DUBAI YA MWAKA 1950 NA DUBAI YA MWAKA 2013

Hii ni Dubai mwaka wa 1950 kabisa angalia picha kwa umakini kabisa........
unaweza kusema ni nchini iliyozigirwa na maji na isiyona muonekano kabisa....
lakini kutoka mwaka huo hadi leo hii mwaka 2013 ni hatua kubwa imechukuliwa
ya maendeleo nchini Dubai....Dubai kwa sasa ndio nchi nzuri kuliko zote dunia kwa kila aina ya starehe ukiacha
zamani iliyokuwa inaongoza nchini Marekani kutokana na vivutio vingi na
mji wake mzuri kabisa Las Vegas,Nevada.......

Na hii ndio Dubai ya mwaka 2013....Tizama mji unavyopendeza,.....
Unajua kwanini wameweza hivi...?kutokana na ulipwaji wa kodi na rushwa kwao
ni adui namba moja kabisa....wameweza kujimudu kwa ilo
na kuwajibishwa kiongozi yoyote atakaekiuka maadili na sheria za nhi hiyo
ya kiarabu inayotawaliwa na mfalme....
Dubai kwa usiku inavyoonekana kwenye picha.......

Huu ni mfano wa mti wa Mnazi lakini mti huo umechorwa
baharini na kutengenezewa nyumba
kwa mfano wa matawi ya mti wa mnazi na kutengeneza kitu
cha ajabu kabisa ambacho Dubai pekee
yake unaweza ukakuta kitu hiki....

Tembelea This is diamond kwa makala nzima hivi karibuni
kuhusu vivutio na maendeleo ya
Dubai......Asante...!!!

No comments:

Post a Comment