Thursday, June 13, 2013

TAZAMA PICHA ZA WASHIND WA TUZO ZA KILIMANJARO WALIPOKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI HOLLDAY INN

Hapa dimond akiwa kwenye gari kuelekea Hotel ya Holliday
 Inn kulikofanyika mkutano wetu na wandishi wa habari


Baada ya kufika,akisalimiana na viongozi wa
 Mashujaa Band,ambao nao walikuwa wakiwasili mida hiyo

Akifurahia jambo na Charlz Baba

Diamond yuko karibu sana na watu wake muda wote yupo instagram,twitter
na facebook na mda wote humfanya ajiskie hayuko peke
yake,hapa akipitia comments za mashbiki wake na kujibu sms.

Hapa akiwa na mtu wake wa nguvu Roma mkatoliki katikati.....

Akifurahi jambo na Mkurugenzi mtendaji wa Bia ya
Kilimanjaro Ndugu Kavishe baada ya kuingia
kwenye chumba maalum mahususi kwaajili ya kuzungumza
 na waandishi wa habari....


Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na
Tour ya washindi wa Tuzo za KTMA...

Akizungumza jambo kwa msisitizo kuonesha uwezo wa
wasanii wa Tanzania unavyokuwa na
wigo wa muziki unavyozidi kutanuka ndani na nje ya nchi....

SALUUUTEEEEEEE.......!!!

Joh Makini akizungumza na wandishi wa habari akifafanua
juu ya uwepo wake kwenye Tour hiyo...Mzee wa Pombe Yangu Madee from Tip-Top Connection alikuwepo pia...


Picha ya Pamoja ya washindi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Award...

Akiwa na  Barnaba Boy Classic wakioneshana mambo ya kiutandawazi kidogo....

Chalz Baba on the line baada ya mkutano na waandishi
 wa habari huu ulikuwa wakati wa maakuli....

Huyu mtu bhana......akiwepo sehemu yoyote ata uwe na
mawazo basi utasahau na kuanza kutabasamu...
ni mcheshi kupitiliza...Professor Jay....


Hapa akipata kidogo tu cha kutia Sunaa maana anadai  cha Mama Naseeb
kinamsubiri home sweet home...

Akifurahi jambo na ommy dempoz''hahahahahaha......Ommy kausha unanichekesha tutakuja kupaliwa na chakula''

Akiwa na  Ben Paul Tryna showin him something...u
 know what it z....Its all about...!!

No comments:

Post a Comment