Sunday, June 30, 2013

PICHA:MID YEAR BASH ILIYOKUWA HOSTED NA ALIYEKUWA HOUSE MATE WA BBA THE CHASE TOKA KENYA,HUDDAH

Jana usiku, model na aliyekuwa mwakilishi wa BBA from Kenya HUDDAH, alikuwa aki-host  party iliyofanyika paleELEMENTS LOUNGE . …Party hiyo ilihudhuriwa na watu mbali mbali jijini Dar, check baadhi ya picha katika party hiyo hapa chini ;


Arthur akiwa na Huddah.


AY


Jamil & Gillsant
Arthur & NchakalihHuddah & Vanessa Mdee

Adam Mchomvu & Dullah

No comments:

Post a Comment