Sunday, June 09, 2013

RAIS KIKWETE AMFARIJI MALKIA WA MIPASHO ( KHADIJA KOPA ) KWA KUFIWA NA MUMEWE


Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM,  Hadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita na kuzikwa Bagamoyo. 

Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo  Ahmed Kipozi na (kulia) ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa CCM, Ridhwani Kikwete.

No comments:

Post a Comment