Sunday, June 16, 2013

STEPS BONGO MOVIE AWARDS 2013:JB NA IRENE UWOYA NDIO WAIGIZAJI BORA 2012

Mwigizaji bora wa kiume 2012 ni JB
Mwigizaji bora wa kike 2012 ni Irene Uwoya.
baadhi ya washindi wengine ni pamoja na:

Best movie 2012 ni Kijiji cha Tambua haki ya marehemu Kanumba
Movie iliyouza sana 2012 ni Ndoa yangu ya Steven Kanumba.
Best Action movie ni ya Jimmy Master ya Double J
Best Negative role ameshinda Chek budi
Mwigizaji bora chipukizi ni Niva.
Best Supporting Actress ni Riyama Ally
Mwigizaji bora chipukizi wa kike ni Irene Paul.
Mchekeshaji bora 2012 ni King Majuto
Mwongozaji bora wa filamu 2012 ni Vicent Kigosi (Ray)

No comments:

Post a Comment