Sunday, June 02, 2013

TAARIFA.....MWILI WA NGWEA HAUTAWASILI TENA JUMAPILI

ngwair


                              TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kamati ya msiba tunaomba kutoa ya taarifa kwamba mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha hautoweza kufika siku ya Jumapili ya tarehe 2/06/2013 kama ilivyo taarifiwa hapo awali, hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu.

Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wenzetu/wawakilishi wetu waliopo nchini Afrika Kusini, mara tutakapopata taarifa hizo tutawafahamisha zaidi. Tunaomba radhi Watanzania wote kwa usumbufu wote uliojitokeza tushirikiane na uvumilivu kwa hili. Asante

Mwenyekiti wa Kamati, Kenneth Mangweha

No comments:

Post a Comment