Thursday, June 13, 2013

USITHUBUTU KUIBA KENYA,MWIZI MWINGINE ALA NYASI BAADA YA KUPIGWA JUJU

Kwa mwenye kumbukumbu nzuri,atakumbuka
 tuliwahi publish story ya mwanamume aliyerogwa akawa
 anakula nyasi kama mbuzi kwa kutuhumiwa kuiba,hii 
ni mpya tena,siku ya jana tarehe 12june
 mwanamume mwingine aliyetuhumiwa kuiba
 viazi amekutwa akila nyasi kama walavyo mbuzi au ng'ombe
story iko hivi,mwanamke mmoja ambaye ndiye
 aliyefanya huo ufundi alimwagiza mwanmume 
huyo amsaidie kupeleka mzigo huo wa viazi kwa mfanya
 biashara mmoja lakini jamaa akaona neema imemwangukia hakufanya
 kama alivyoagizwa na alipoulizw
a na mwenye mzigo akadai mzigo umepotea  na alipoombwa
 avilipe hivyo viazi akakataa kwa madai kuwa ye hana kosa
mama wa watu akaona isiwe taabu akamwambia
 atafanya vitu vyake baada ya siku sita kuna 
chochote kitatokea kwa mwizi wake na siku ya sita ikawa
 imetimia jana ambapo jamaa alikutwa anatafuna nyasi
na yule mama aliomba alipwe elfu kumi za kenya
 lakini ndugu wa mwizi walidai waonewe huruma
 kwani wao ni maskini hawana uwezo huo
 na yule mwanamke nae akaendelea kukaza
na inasemwa kuwa mwanamume huyo ameshafariki dunia..
malipo ya dhambi ni mauti siku zote

No comments:

Post a Comment