Thursday, June 13, 2013

WANAFUNZI WA CHUO KIMOJA MKOANI MTWARA WAFANYA PARTY YA KIFUSKA

Pombe  iko  kichwani  hapo....Kila  kitu  kwake  ni  sawa ..

Katika hali isiyokuwa ya kawaida,  wanafunzi wa chuo kimoja maarufu Mkoani Mtwara hivi karibuni walifanya party ya ufuska na kuwaacha watu midomo wazi kwa mambo yaliyokuwa yanatendeka.
 
Party hiyo ambayo  ilifanyika ndani ya pub moja  mkoani  humo  ilihudhuriwa  kwa  wingi  na  wanafunzi wa chuo  hicho  ambao  wengi  wao  walikuwa  wamevaa  kihasara ...
 Huyu  ni mmoja wa wanafunzi hao aliyefahamika kwa jina la Zaitun ambae anasoma mwaka wa kwanza katika chuo hicho.
 Dada akiwa amezidiwa na pombe  hadi kushindwa kunyanyuka...

Ndani ya pub hiyo, madenti hao  walianza  kwa  staili  ya  kupiga  pombe  kabla  ya  michezo ya  kifusika  kuanza...

Pombe  ilipowakolea, madenti  hao  waligawana, kila  mtu  mtu  na  wake  na  kuanza  kubadilishana  mate  na  michezo  mingine  ya  michafu...
 Dada akiwa amezidiwa na pombe  hadi kushindwa kunyanyuka...

Hali  hiyo  ilizua  tahamaki  kubwa  kwa  wananchi waliokuwa  eneo  hilo huku  wengine  wakionekana  kutoamini  macho  yao  kwa  vitendo  vilivyokuwa  vikitendwa  na  madenti  hao...

Credit: Xdjayz

No comments:

Post a Comment