Sunday, June 02, 2013

WATU WATANO WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA MALORI MATATU KUGONGANA MAENEO YA MASEYU MOROGORO

Ajali mbaya imetokea na kuhusisha magari matatu katika eneo la miseyu tarafa ya mikese barabara ya dar esalam na morogoro
Ajali hiyo ilisababisha kufungwa kwa barabara katika eneo hilo kutokana na gari hilo kuziba robo tatu ya njia na kusababisha vifo vya watu watano katika ajali hiyo
mguu ukiwa umeharibika vibaya
Raiya wema wakimbeba jamaa

No comments:

Post a Comment