Saturday, July 06, 2013

ANGALIA VIDEO WEMA SEPETU AANZISHA REALITY SHOW.


wema
Wema Sepetu alitangaza kwamba anaandaa reality show yake chini ya kampuni anayoimiliki “Endless Fame”. Muda umefika wa kuanza kuonyesha hiyo show yenyewe na Wema ameshatoa teaser au kionjo cha reality show hiyo ambayo inaonyesha baadhi ya vitu vinavyohusika kwenye show hiyo. Kwenye hii teaser inamuonyesha Wema anazungumzia kazi, mahusiano na katajwa Diamond humo,ziara za Wema na maisha ya nyumbani.


4 comments:

 1. Wema Sepetu uko juu,u'r a star.

  ReplyDelete
 2. Kazana wema utafika tu

  ReplyDelete
 3. duuuh Wemaaaaaaaaaa, yaani for the first time nitaangalia reality tv show from bongo, nani asiyetaka kumuona wema, zingine zote uzushi hongera wema na asante kwa burudani

  ReplyDelete
 4. Thanks Wema nafurahiya sana show yako, lakini ningependelea sana kama ningepata number yako.

  ReplyDelete