Monday, July 01, 2013

HAYA NDIO MAMBO YA KIBAO KATA WANAWAKE WANAMWAGA RADHI HADI BASIMadada wengine hawana heshima kabisa, umealikwa kwenye Hafla halafu unafanya mambo ya ajabu  kama hawa wadada chini. wamealikwa wanaanza kucheza kihasara hasara. Nguo zenyewe walizovaa.....
Wengine ni watu wazima kabisa lakini walivyovaa kama watoto wa miaka 23. Kweli akina dada tujiheshimu.......Hatarieeeeeeeeeeeeee hapo binti anatolewa ..Kibao kata ni sherehe za wanawake tuu ambapo hufanyiwa binti anapotaka kuolewa ....Basi huko ukibahatika kuingia utaona uchafu wote wa mauno....mmhh Kazi kweli kweli ...Uswazi kuna mambozzzz

No comments:

Post a Comment