Saturday, July 20, 2013

HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOFTURISHA NYUMBANI KWAKE

Napenda kumshukuru Mungu kwa siku ya jana kwa rehema
zake na baraka tele alizoweza kunijalia mimi
pamoja na familia yangu kwa kutuwezesha kufanikisha lile jambo
la kheri kwa mwanadamu kwenye
kipindi hiki cha mfungo wa ramadhani....
Siku ya jana nyumbani kwangu niliamua kutoa sadaka kwa kufuturisha
 yatima na rafiki,ndugu na jamaa zangu wa karibu
maeneo ya sinza mori...Kidogo hiki hiki nachopata nagawana na
wenzangu basi hata na ww pia na kusihi
maana kutoa ni moyo na wala si utajiri.....Zoezi zima la kufturu
lilienda sawa nashukuru kila mmoja aliridhika kwa
kile alichokipata kwa mkubwa kwa mdogo......Pia napenda
kutanguliza shukrani zangu kwa Masheikh waliodhuria
futari hii hata familia nzima na waandazi na wapishi walioshugulikia
 mipango yote kukaa sawa.....

Mtu wangu wa kweli nimekuwekea Picha hizi waeza ona
matukio yote muhimu kujua kile kilichokuwa kinaendelea
maeneo haya .........Ramadhan Maqbuul....


UNCLE P & QBOY MSAFII
HOW DO I LOOK......???
Nikipokea wageni nje moja wapo ni rafiki yangu na kama
ndugu wa karibu kwangu na familia yangu kiujumla
I call Him P we Muite Uncle P inatosha....

Wandazi Rose Kayuga.....
Mahanjumati ayo...unaonaje mwenyewe...yaliyopikwa yakapikika saawia...
I Myself ,Emma Platnum & Uncle P
Madee akiwasili....
Madee akisalimiana na Emma Platnum Dnacer wa wasafi

Dua ikisomwa....

Hii ni kabla ya kufturu tukifanya dua kidogo mwenyezi Mungu
kuweza kupokea sadaka yangu
kwa hiki nachotaka kufanya....
Wageni wakiwasili eneo la tukio muhimu....

Babu tale chokaa sana mida hii akisubiri adhana iadhiniwe apate kufturu.....
Uncle P & Qboy msafii wakisimamia sekta hii....basi jambo linaeda saawia..
Aya sasa ni muda wa kufturu sasa.....
Utaratibu ulizingatiwa pia kwenye mstari mmoja baada ya mmoja ndio mpango...
Tale mdogo,Hamza Bala,Madee awakukosekana pia
kuja kutia baraka kwenye futari hii..
Nilisimamia swala ili mwenyewe kuhakikisha kila mtu
aliefika akiweka utumbo sawa...


Kutoka kushoto G5 Member Ombeni Philip,Deizy
Ernest,Junior& Kichwa mwenyewe
Hapa nikiwa na wadau wangu wa jukwanii wale vijana
 wanaofanya unyama kwenye mavazi
yangu na dancers jukwanii ndo hawa.....Twinsfashion nao walikuwepo...

Nikiteta jambo na ndugu zangu Mussa Mateja & Shakoor Jongo walipowasili...


Wanaumeee ........taratibu kuchukua vyanda....Dumi mwenye utamu wake akigusa vitu vitamu vitamu....

Nay Nai Nai & Snura majanga nao ndani....
Nikifurahi jambo na Ommy baada ya kuwasili....

Rommy Jones & Omari Nyembo
Ommy Dimpoz & Penniel...

Tiddy & Shetta King Mswati alikuwepo pia......
Sehemu ya kina mama wakifturu.....
Malika &Badra walikuwepo kutoa ushirikiano pia kwenye
maswala ya jikoni Pongezi kwao...
Bi Mwa J
Mwengi Ally Shem lake & Recho Kizungu zungu....
Dianna mwandazi akipata mahanjumati....

Mussa Mateja & Shakoor Jongo nao walikuwepo....
Esmah Khan ......


Rommy Jones anaonekana ameshiba kisawa sawa.....

No comments:

Post a Comment