Sunday, July 07, 2013

MCHEZAJI KIKAPU MICHAEL JORDAN ATANGAZA KUUZA JUMBA LAKE LA KIFAHARI KWA DOLA MIL 21 TU.


Kutoka katika mtandao wa BallOverAll umesema kwamba Legendary wa mpira wa kikapu nchini marekani Michael Jordan ambaye alikuwa anakipiga katika timu ya Chicago Bulls ameamua kuweka jumba lake la thamani sokoni kwa kiasi cha dola za kimarekani Milioni 21 tuu, Jumba hilo ambalo lipo eneo la illinois nchini Marekani mwanzoni ilikuwa liuzwe kwa dola Million 29 lakini bei iyo ikashuka mpaka kufika dola 21Milioni,
Jumba hilo lenye ukubwa wa mita za mraba 32,000, lina vyumba tisa(9) vya kulala, 15bathrooms, gym ya mazoezi, uwanja wa kuchezea tenesi pamoja na uwanja wa ndani wa basket maarufu kama Indoor.


No comments:

Post a Comment