Friday, July 05, 2013

PICHA ZA LAANA ZA KUNDI LA BAIKOKO - TANGA

Hizi  ni  baadhi  ya  picha  za  kundi  la  wacheza  uchi / nusu  uchi  maarufu  kwa  jina  la  Baikoko  lenye  maskani  yake Tanga....
 
 
 
 

13 comments:

 1. Replies
  1. Huo tena si utamaduni! Ni laana halisi!

   Delete
 2. its all about choices bora hao wamejiweka wazi. ila kiukweli majanga kama hayo na zaidi yapo kibao mbele ya mfalme pesa,

  ReplyDelete
 3. Siko kwa ajili ya hawa wapumbavu ila nakusifia kwa kuwakumbuka waliotangulia na kuwaweka hapo pembeni safi sana dadaaaaaaa.....@uliza

  ReplyDelete
 4. Mimi nadhani hayo ni maisha ambayo watu wameyachagu wenyewe waishi,aliyekosa ustaarabu ni yule ambaye kwa maamuzi yake binafsi ameamua kuingia kwenye hiyo klabu akijua kinachoendelea ndani, halafu hizo picha akazileta kwa watu ambao hawana mpango na maisha ya hivyo?? mimi sitetei lakini mambo mangapi ambayo yanatendeka kwenye klabu za usiku au madanguro ambayo labda ni picha tu hamjabahatika kuzipata, ni kukosa ustaarabu wewe kwa starehe zako uingie humo halafu utuletee hizo picha!!!mtazamo tu

  ReplyDelete
 5. Anatangaza biashara yake

  ReplyDelete
 6. Imefika wakati ambayo serikali inatakiwa kuingilia kati tamaduni fulani kama inavyofanya kwny swala la ukeketaji. hii ni laana kubwa sana, tunaelekea wapi jamani?

  ReplyDelete
 7. daaaah! hii ni balaaa tena laana kweli kweli

  ReplyDelete
 8. i can say nothing but God Have mercy on Us! - Timoh

  ReplyDelete
 9. Huo UHURU mnaoutaka
  c Kwa matusi ya mdomoni tu hata ya nguoni na bado tutaona zaidi ya hayo

  ReplyDelete
 10. huyo hana wazazi maana hata malezi yawe mbaya c ki hivyo hiyo ni sodoma ya Tanzania

  ReplyDelete