Tuesday, July 02, 2013

PICHA:RADIO NA WEASEL WALIVYOWAKILISHA KWENYE BET AWARD 2013

Hii ilikuwa tarehe 1/7/2013 kwenye Tuzo za Kituo cha Televisheni
Maarufu Dunia kama B.E.T AWARD
inayofanyika kila mwaka..... Hapa tunawangalia wasaani 
hawa toka Uganda nawazungumzia
Goodlife..... Radio & Weasel waliokuwepo kutoka East Africa
 wakiwa kwenye Kinyang'anyiro
cha Tuzo moja wapo kati ya tuzo 28 za B.E.T.....

Kituo hicho kinachoenda kwa Jina la Black Ent Television
ndio wamiliki wakuu wa Tuzo hizo sambamba na wadhamini
Mbalimbali...
Hii inafurahisha kuona wasanii kutoka East Africa wakipiga hatua
kwenye muziki wa Kimataifa zaidi na kuona faida ya muziki wafanyao..
Zifuatazo ni picha za Radio & Weasel wakiwa na Mastaa
tofauti wa majuu kati picha
tofauti......No comments:

Post a Comment