Wednesday, July 03, 2013

TUKIO LA KUBAKWA KWA MSANII MAARUFU WA BONGO MOVIE....

 

Kuna habari  mbaya  ambazo  zilianza  kusambaa  mtandaoni  jana.Habari  hizo  zinazomhusu  msanii  maarufu  wa  bongo  movie  ambaye  anadaiwa  kubakwa  (Mtungo ) na  wanaume  kadhaa.

Habari  hizo  zinadai  kuwa, Msanii huyo  wa  kike  mwenye  jina  kubwa  hapa nchini    alikutwa  na  balaa  hilo  baada  ya  kuwachanganya  kimapenzi  washikaji  wawili  ambao  ni  kama  marafiki  na  hivyo  wakaamua  kulipa...

Ili  kutimiza  kisasi  chao, habari  zinadai  kuwa  "mpenzi  mpya"  alimuomba  msanii  huyo  wakutane  hotelini  ili  wakafaidi  maisha.Wakati  huo huo, "mpenzi wa zamani"  alipewa  taarifa  kwamba  watakutana  hoteli flani  na  saa  flani.

"Mpenzi  wa  zamani "  alitinga  eneo  la  tukio  akiwa  na  vijana    kadhaa  na  kisha  akabana  sehemu  kumsubiri  mhanga  wa  tukio....

Muda  ulipofika, msanii huyo  akiwa  na  "mpenzi wake mpya"  waliingia  hotelini  hapo  na  kujimwaga   katika  chumba  kilichokuwa  kimeandaliwa na  kwamba  ndani  yake  kulikuwa  na  vinywaji  vyakutosha.

Habari  hizo  zinapasha  kuwa, baada  ya  muda  flani,  "Mpenzi mpya"  aliaga  anatoka  nje  kidogo..Aliporudi  ndani  hakufunga  mlango.

Dakika  chache  baadaye, waliingia  hao  vijana  wakiwa  na  'mpenzi  wa  zamani"..Walitembeza  kichapo  kidogo  kwa  mrembo  kisha  wakamtia  kilevi na  baada  ya  hapo  wakafaidi  tunda...!!

Habari  hizi  hazijathibitishwa...Ni  habari  ambazo  ziko  barabarani  na  mitandaoni  tangu  jana.. Tunafanya  jitihada  za  kuupata  ukweli  wa mkasa  huu  kwa  kuwasiliana  na  wahusika..

Tunaahidi  kulianika  jina  la  msanii  huyo  baada  ya  UPEKUZI wetu  kukamilika  ikiwa  ni  pamoja  na  kujiridhisha  kwa  kina  juu  ya  SAKATA  hili  la  aibu

No comments:

Post a Comment