Wednesday, August 28, 2013

ACTRESS AUNT EZEKIEL ACHANWA VIBAYA NA CHUPA AKIWA CLUB.

Actress maarufu Swahiliwood Aunt Ezekiel amechimbwa na kitu chenye ncha kali kinachodaiwa kuwa chupa katika mkono wake wa kushoto. Tukio hilo lilitokea juzi katika ukumbi wa Club Billicanas wakati Wema Sepetu akitambulisha wasanii wake wapya wa Bongofleva.
Habari ambazo bado sio rasmi ni kuwa huenda muigizaji huyo alikumbwa na tukio hilo hatari kutokana na issue za kimapenzi yaani kugombea mwanaume siku za nyuma au sasa. Tutakujuza zaidi kinachoendelea. Ugua pole Aunt......

No comments:

Post a Comment