Friday, August 30, 2013

ANGALIA PICHA NA KILE KILICHOJIRI KATIKA RED CARPET YA LAUNCHING VIDEO YA DIAMOND......MY NUMBER ONE

Napenda kutoa Shukrani zangu za dhati kwa
Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanikisha
hadi kufikia hapa muda na wakati kama huu...
Usiku wa tarehe 29.08.2013 nilikuwa na Launch
video yangu inayotambulika kama
My Number One,nilianda tafrija fupi kwenye
 hoteli ya nyota tano,Serena Hotel jijini Dar Es Salaam

ili kuweza kujumuika
na ndugu,jamaa na marafiki wa karibu kuwonesha
kile kitu ambacho nimetumia muda mwingi
kutengeneza,kabla ya kuiachia nikaona vyema
waipitie kabla mtu wangu wa kweli ujaicheki.

Hizi ni picha kadhaa za Tukio la Red Carpet
 nikimaanisha zulia jekundu kala ya
Shuguli nzima kuanza hivi ndivyo ilikuwa:

Hamis Mwinjuna A.k.a Mwana F.A alikuwepo pia kushow Love....

Interiew zinahusika sana sehemu kama hizi....

Sauda wa Bongo Beats ya Star Tv nae akukosekana ndani ya nyumba.....
Chege Chigunda Toka TMK nae alikuwepo.....
Flowers awakosekanagi sehemu kama hizi.......
wakiongozwa na Number One Diva Hamisa
hassani Mobeto.


Mzee Muhidini Gurumo nae akukosekana
ndani ya Nyumba.....Furaha Ilioje kumuona
Nguli wa Muziki wa Dansi nchini akiudhuria
kwenye kitu kama hichi

Prince Brother Man Dully Sykes akiwasili
ndani ya Nyumba pembeni na FloweR
Shadee toka Clouds Tv,presenter wa Cloud 9...


Shadee & Dully...Mmmmmh....??? Aya sina usemi
Kama kawaida......
Sarah A.k.a Shaa nae ndani 
Movement zikiendelea na mahojiano mbalimbali
kati ya wasanii na presenters wa vituo mbalimbali
vya Habari & Blogs kiujumla wakiwa kazini....

Mama yangu Mdogo yanii nikimaanisha Mdogo
 wake na mama yangu mzazi Bi Sandrah Sammy
Asha Baraka,Manager na Owner wa Twanga Pepeta nae alikuwepo...Mwenyewe Naseeb Abdul Nilipowasili,Shuguli ikawa imefikia patamu sasa......
Nikijibu maswali tofauti tofauti toka kwa waandishi wa Habari...


Jacquline Wolper toka Bongo Move nae akukosekana.....


Jacquline wolper & Qboy Msafii......


Kwenye Red Carpet Dimond na mchumba wake,
Penniel Mungiwa,Presenter wa DTV...
Thanks For Coming Buddy.....

The True Boy Is in the building....
Proffesor Jay a.k.a Father House nae alikuwepo
 kushow Love kwa mdogo wake.....
No comments:

Post a Comment