Wednesday, August 28, 2013

BABA YAKE WEMA SEPETU ALAZWA HOSPITAL

Baba wa Staa wa filamu za kibongo na Mkurugenzi wa kampuni ya Endless Film,Wema Sepetu,Mzee Isaac Sepetu amelazwa hospitalini baada ya kuugua.

Wema alipost picha ya baba yake akiwa amelazwa hospitali akiwa na mama yake,Mariam Sepetu huku akiandika
‘God pliz help my daddy sepetu get well soon.... love u daddy wa mimi’.
‘Mwenyezi mungu atakuafu daddy wangu... its a very hard seeing my daddy sick like this.... I need ur prayers aswell... love u daddy sepetu wangu’aliandika Wema.

Thesuperstarstz inaungana na familia ndugu na marafiki wa ukweli wa familia ya wema sepetu kumuombea mzee wetu apone haraka na tuwe nae tena katika pilika zetu za kila siku.

No comments:

Post a Comment