Tuesday, August 27, 2013

BAR YA SAMAKI SAMAKI YA MBEZI YATEKETEA KWA MOTO


Bar ya Samaki samaki iliyopo maeneo ya Mbezi beach inateketea kwa moto  maeneo ya mbezi Beach...Tutawaletea matukio zaidi hivi punde bado mwandishi wa thesuperstarstz yupo eneo la tukio anafuatilia habari hizi

No comments:

Post a Comment