Wednesday, August 28, 2013

HALI BADO NI MBAYA BAADA YA TUKIO LA SHINYANGA MWANAMKE MWINGINE ABAKWA NA KUCHOMEKWA MITI SEHEMU ZA SIRISAMAHANI TUNAOMBA RADI PICHA SIO NZURI KUTAZAMWA KAMA UNA ROHO YA WOGA AU WASI WASI


Ikiwa  ni  siku  chache zimepita toka thesuperstarstz kurpoti  habari  ya  mwnamke  mmoja  mkazi  wa  kahama  kubakwa  na  kutobolewa  macho  huku  akichomekwa  kisu  sehemu  zake  za  siri, mitandao  ya  kinigeria  nayo  imeripoti  unyama  kama  huo.....Kwa  mujibu  ya  mitandao  hiyo, unyama  huo  unadaiwa  kutendwa  kwa  binti  wa  miaka  23  ambaye  alibakwa  na  kundi  la  wanaume  na  kisha  kumchomeka  miti  sehemu  za  siri  na  kumtoboa  macho....

No comments:

Post a Comment