Thursday, August 08, 2013

HII NDIYO TASWIRA YA MFANYABIASHARA WA MADINI ALIYEPIGWA RISASI ARUSHA.

Mwili wa Erasto Msuya na mmiliki wa SG HOTEL mkoani Arusha mara baada ya kupigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo.
 
Askari wakichunguza tukio la kupigwa kwa risasi kwa mfanya biashara huyu.
Mwili kulia mara baada ya kupigwa risasi na kulia ni gari la kifahari aina ya langer lover eneo linalodaiwa kupigwa risasi mfanyabiashara huyu. 
Picha kwa hisani ya mdau Mutoto wa Arusha.

Hivi ndivyo mfanyabiasha huyu mkubwa wa Madini jijini Arusha aliyejulikana kwa jina la Erasto Msuya na pia ni mmiliki wa SG HOTEL mkoani humo, alivyopigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo.

Habari zinaeleza na kubainisha zaidi kuwa Marehemu alikuwa akitokea KIA kwenda BOMA ambako alikuwa ameitwa na watu (ambao hawakujulikana mara moja) ili wakafanye biashara. 

Habari zaidi tuvute subra kidogo,tutazidi kufahamishana kadiri ya taarifa zitakapokuwa zikiingia.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amen.

No comments:

Post a Comment