Thursday, August 29, 2013

HIVI NDIVYO KIJANA HUYU ALIVYOPOTEZA MAISHA KISA WIZI WA MKAA

  Kijana mmoja ambae jina lake halikupatikana kwa haraka  amejikuta akichomwa moto hadi kufa na wananchi wenye hasira kali kwa kile kilichodaiwa ni wizi wa mkaa wa watu huko maeneo ya Mbagala Charambe.

No comments:

Post a Comment