Wednesday, August 28, 2013

JAY MOO NA MANSU LEE WAELEZA HOFU YAO JUU MZIKI WA BONGO FLEVA

Photo: Mwana mansu lee yupo na jay moo sinza stars nimewa~catch up on my whatsappWale wa kali wa muziki wa hipo hop ndani ya bongo jay mo na mwenzake mansu lee wameeleza kusikitishwa kwao na mwenendo mzima wa muziki wa tanzania huku wakitowa maoni yao juu ya hali halisi ya hip hop nchini.

Akipiga story na thesuperstarstz jay moo alisema muziki wa tanzania umegeuka kuwa kama chaji za simu bil;a umeme huwazi kuchaji cm wala kuwasiliana,msanii huyo aliopngeza kuwa yeye haogopi wala hamuhofii msanii yeyote yule kwani anajiamini na hata raiya wanamuaminia sana japo wakubwa wanabana ila hawamkomoi.

thesuperstarstz ilipomuuliza ni watu gani hao hakuwa tayari kuwataja japo alisema ipo siku atawaweka wazi kama hawatajirekebisha ,pia alisema kuwa kwasasa hali ni mbaya haswa kwa wasanii wachanga kama hujashikwa na bwana mkubwa basi huna lako.kiukweli hali si nzuri kama msanii ndio unaanza bila kushikwa mkono hufiki popote zaidi utabaniwa sana ila nataka ufahamu mabadiliko yanakuja na muda si mrefu watu wataona kwa vitendo kwani mwana hip hop halisi hatakiwi kuongea sana bali anatakiwa vitendo.

Kwa upande wa mansu lee alisema kwa upande wake anaheshimu hip hop sana hivyo kamwe hatayumbishwa  na mziki wa wasiona mbele kwani wanatumiwa kama big gee na mwisho wanatupwa nnje aliwataja baadhi ya wa sanii ambao si vyema kuwaandika hapa ambao walitumiwa na watu flani na leo hawana hata pesa ya kodi ya nyumba wamebaki kudandia kwenye vyumba vya washikaji tu.

No comments:

Post a Comment