Tuesday, August 27, 2013

KANUMBA THE GREAT FILMS KWA MARA NYINGINE WAINGIA MZIGONI,TAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI.


Kwa mara nyingine tena kampuni ya uzalishaji filamu bora za kitanzania Kanumba The Great Films imeingia mzigoni kuandaa filamu mpya iitwayo WONDER GIRL ikiwashirikisha waigizaji bora kabisa.
Thesuperstarstz ilipata bahati ya kuonana na wahusika wakati wakiwa location kurekodi filam hiyo iliowashirikisha wasanii kama vile Seth Bosco ambae ni mdogo wake Kanumba, Lilian Mamuya,Rammy Galis, Samofi, na Keita.
Lilian Mamuya katika pozi
 Kama ilivo ada ya kampuni ya Kanumba The Great Films ni kuibua vipaji vipya katika tasnia ya uigizaji,kwa sasa inawaleta kwenu waigizaji wapya na wenye vipaji na uwezo mkubwa kama vile Lilian Mamuya (kwenye picha juu) na Christina Peter (Hayupo pichani). Pia katika movie hii kuna watoto ambao wameonesha umahiri mkubwa katika sanaa ya uigizaji hivyo inaashiria kua filamu hii ikitoka itakua gumzo la jiji.

Lilian Mamuya katikaakisoma script yake.

Lilian Mamuya katika poziLilian Mamuya On Set hapa akisikiliza maelekezo kutoka kwa Director Zakayo Magulu

Lilian Mamuya katika pozi na Rammy Galis

Lilian Mamuya na Samofi(Comedian mahiri) wakipitia Script

Rammy Galis naLilian Mamuya mara baada yakuwasili ofisi za Kanumba The Great Films


Hapa Lilian Mamuya akipewa script yake na Director Zakayo Magulu

Lilian Mamuya On Set

Novatus Mayenja ndio production managerLilian Mamuya katika pozi tofauti.

The Super

No comments:

Post a Comment